Donald Trump aapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani

Donald Trump aapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani katika hafla ilioandaliwa katika jengo kuu la bunge Congress mjini Washington.

Trump aapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani na Jaji Mkuu John Roberts.

Hizi ni baadhi ya Nukuu ambazo zimenukuliwa akiwa anahutubia mara baada ya kuapishwa

'Uwe mweusi, mweupe ama udhurungi sote hutokwa na damu nyenkundu'

"Tutaunganisha ulimwengu dhidi ya ugaidi ,ambao tutauangamiza kabisa duniani.

"Ni lazima tufikiri sana na kuwa na ndoto kubwa.

 Sitakubali wanasiasa amba huzungumza sana bila kuwatendea .

 Wakati wa mazungumzo matupu umekwisha ,masaa ya kufanya vitendo yamewadia.

 Usikubali mtu akwambia kwamba haiwezi kufanyika''.

"Hii ni siku yenu ,hii ni sherehe yenu na hii ni Marekani taifa lenu.Watu waliosahaulika na wanawake hawatasahaulika tena.kila mtu anakusikiza sasa.

No comments

Content by MwasebaINFO.All RIghts Reserved. Powered by Blogger.