DIAMOND PLATINUMZ AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KUIWAKILISHA TANZANIA AFCON2017

Diamondplatnumz amekabidhiwa bendera kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya #AFCON2017


diamondplatnumz amekabidhiwa bendera ya Tanzania na waziri wa habari sanaa na michezo mh Nape nnauye ili kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya #AFCON2017 nchini Gabon ambapo atatumbuiza katika ufunguzi wa mechi za michuano hiyo.

No comments

Content by MwasebaINFO.All RIghts Reserved. Powered by Blogger.