UPDATE: MAPINDUZI CUP

Kama kawaida mwasebainfo. com tunakuletea habari kutoka kila kona ya Tanzania.
Kutoka Zanzibar ambapo Leo kulikuwa na Pambano la kukata na shoka lililokutanisha miamba miwili ya soka nchini Azam FC wana lambalamba na Simba Sports Club na Azam kuibuka na ushindi wa goli moja dhidi ya wakongwe hao Simba Sports Club.
Habari kamili zitawajia...

No comments

Content by MwasebaINFO.All RIghts Reserved. Powered by Blogger.