Hii ni full video ya show ya Diamond na Mohombi

Hatimaye tayari Diamond Platnumz amesha perform kwenye AFCON na ameweza kutumia vema bendera ambayo alikabidhiwa na Mh Nape NNauye.
Hii ni video ya wimbo wa pamoja na Mohombi ambao ni soundtrack ya AFCON 2017

No comments